SectionsEucharistMisa Taita (Nasadiki)

Misa Taita (Nasadiki)

Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Nasadiki kwa Mungu mmoja x2

Mwumba mbingu na dunia x2

Na kwa Bwana Yesu Kristu

Mwana wake wa pekee

Nasadiki kwa Mungu Baba -

Nasadiki nasadiki Mungu aliyetuumbannasadiki nasadiki

Na kwa mwana mkombozi -

Na kwa roho wa uzima -

Verse 2

Alitungwa kwa uwezo wake x2

Roho mtakatifu x2

Kazaliwa na Maria

Yule mama na bikira n

Verse 3

Akateswa kwa Pilato ndipo x2

Akasulibiwa x2

Kafa tena akazikwa

Akashuka kuzimu

Verse 4

Siku ya tatu kafufuka, akapaa x2

Hata mbinguni x2

Amekaa kuume kwa Mungu

Baba aliye Mwenyezi

Atakuja kuhukumu wazima pia x2

Na wafu x2

Na ufalme utakuwanfalme wake wa milele

Verse 5

Nasadiki kwa kanisa takatifu x2

Takatifu Katoliki Katoliki

Shirika la watakatifu

Maondoleo ya dhambi zetu

Verse 6

Nangojea ufufuko wa miili x2

Toka kwa wafu x2

Na uzima wa milele

Yote hayo nasadiki