Verse 1
Baba yetu uliye mbinguni
Baba yetu, Baba yetunjina lako litukuzwe daima
Ee Baba, Ee Baba, Ee!
Verse 2
Baba yetu uliye mbinguni jina lakonlitukuzwe daima
Ufalme wako ufke, utakalo lifanyikenduniani kama mbinguni
Verse 3
Baba yetu -nutupe leo mkate wetu wa kila siku,nutusamehe makosa yetu, kamantunavyowasamehe na sisi waliotukoseanusitutie katika kishawishi lakini utuopoe maovuni
Verse 4
Kwani ufalme ni wako - Baba yetu
Kwani nguvu ni zako - Baba yetu
Utukufu ni wako - Baba yetu
Baba, milele, milele - hizi zote zako,
Baba!