Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie *2
Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie *2
Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie *2
Gloria
Glory to God
utukufu juu kwa Mungu, na amaninduniani, kwao watu wenye mapenzi nwatu wenye mapenzi mema
Tunakusifu tunakuheshimu
Twakuabudu tunakutukuza
Twakushukuru kwa ajili yakonya utukufu wako mkuu
Ee Mungu baba ndiwe mfalme wa Mbinguninbaba mwenyezi
Ee Yesu Kristu mwana wa pekee
Mwana kondoo mwana wa Baba
Uondoaye dhambi za watu,ntuhurumie utusikilize
Tuhurumie mwenye rehema nmaombi yetu uyapokee
Uketiye kuume kwake
Mungu Baba tuhurumie
Kwa kuwa ndiwe pekee yako
Pekee yako Mtakatifu
Pamoja naye Roho mtakatifu
Katika utukufu wake
Anayeishi na kutawala
Milele yote amina
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu
Mungu wa majeshi
Mbingu na dunia nzimejaa utukufu wakon
Hosanna *3 hosanna juu mbinguni
Mbarikiwa anayekuja anayekuja nkwa jina la bwana
Lamb of God
Agnus Dei
Mwana Kondoo wa Mungunuondoaye dhambi za ulimwengu utuhurumie *2
Mwana Kondoo wa Mungunuondoaye dhambi za ulimwengunutujalie amani