Gloria
Glory to God
Utukufu kwa Mungu mbinguni
Na amani duniani kote
Kwao wenye mapenzi meman
Tunakusifu tunakuheshimu
Twakuabudu na tunakutukuzan
Twakushukuru mwenye utukufu
Mfalme wa mbingu, Mungu Baba yetun
Ee Bwana Yesu mwana wa pekee
Mwana kondoo wake Mungu Baban
Mwenye kufuta dhambi za dunia
Tuhurumie, utusikilizen
Unayeketi kuume kwa Baba, u peke yako
Mkuu Yesu Kristun
Pamoja naye Roho Mtakatifu kwa
Utukufu wake Mungu Baban
Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Tunakuomba ewe bwana utuhurumie sisi
Wakosefu utuhurumien
Tunakuomba ewe kristu utuhurumie
Dhambi tunatubu tuhurumien
Tunakuomba ewe bwana utuhurumie sisi
Wakosefu utuhurumien
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Mtakatifu mtakatifu mtakatifu ewe Bwana n(Bwana wetu Mungu wa majeshi)
Mbingu na dunia zimejaa utukufu n(kweli zimejaa wako utukufu)n
Amebarikiwa yule mwenye kuja kwetu
Yule mwenye kuja kwa jina la Bwanan
Hosanna *3 hosana juu mbinguni.
Lamb of God
Agnus Dei
Mwana kondoo wa Mungu, uondoaye
Dhambi za ulimwengu, tuhurumie *2n
Mwana kondoo wa Mungu, uondoaye
Dhambi za ulimwengu, utujalie amanin