Misa Rapogi

2 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana utuhurumie Bwana Ee Bwana

Bwana ee ee ee Bwana utuhurumie *2

Kristu, utuhurumie ee Kristu

Ee ee Kristu utuhurumie.*2

Bwana . . .

Gloria

Glory to God

Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni

Na amani iwe kote duniani,

Kwa watu wenye mapenzi mema

Chorus

{ Tunakusifu, tunakuheshimu

Na tunakuabudu Baba tunakutukuza } *2

Tunakushukuru Mungu kwa ajili

Ya utukufu wako mkuu ee Bwana,

Ni Mungu ndiwe mfalme wa Mbingu

Ee Baba Mwenyezi Bwana Yesu Kristu

Ee Mwana wa pekee ee Mungu Mwana

Kondoo wa Mungu mwana wake Baba.

Mwenye kuziondoa dhambi za dunia

Utuhurumie tuhurumie

Upokee Baba maombi yetu

Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba

Utuhurumie kwa kuwa ndiwe

Pekee yako ndiwe mtakatifu

Pekee yako ndiwe mkuu

Ee Yesu Kristu pamoja naye

Roho Mtakatifu milele yoten