Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
[v:] Bwana utuhurumie,
Bwana utuhurumien[t: +w:] Bwana utuhurumie
Bwana utuhurumien[w:] Ee Bwana utuhurumie
Ee Bwana utuhurumie
Kristu utuhurumie ...
Bwana Utuhurumie ...
Lamb of God
Agnus Dei
Mwanakondoo wa Mungu
Uondoaye dhambi za dunia, utuhurumie
Mwanakondoo wa Mungu
Uondoaye dhambi za dunia, utuhurumie
Mwanakondoo wa Mungu
Uondoaye dhambi za dunia, utujalie amani
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Chorus
Ee mtakatifu, ee mtakatifu
Ee mtakatifu, ee mtakatifu
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi
Mbingu na dunianzimejaa utukufu wako Bwana
Hosanna juu mbinguni
Mbarikiwa mwenye kuja
Mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana
Hosanna juu mbinguni
Utukumbuke ee Bwana
Utakapokuja kwa utukufu