Misa Migori

2 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana tuhurumie, tuhurumie ewe Bwana

Aah aah ah Bwana

Tuhurumie ewe Bwana n

Yesu Kristu tuhurumie ewe Kristu

Aah aah ah Kristu

Tuhurumie ewe Kristun

Bwana tuhurumie, tuhurumie ewe Bwana

Aah aah ah Bwana

Tuhurumie ewe Bwana n

Gloria

Glory to God

Utukufu kwa Mungu juu na amani

Duniani, na amani kwa watu wote (wenye)n[Wenye mapenzi mema,

Watu wenye mapenzi mema

Wenye mapenzi watu (wenye)

Mapenzi mema] *2n

Tunakusifu tunakuheshimu

Tunakuabudu tunakutukuza

Tunakushukuru kwa ajili ya

Utukufu wako, wako mkuun

Ee Bwana Mungu mfalme wa mbinguni

Mungu Baba mwenyezi ee Bwana Yesu Kristu

Mwana wa pekee, ee mwana wa Mungu

Mwana kondoo wa Mungu, mwana wa Baban

Mwenye kuondoa dhambi za dunia

Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia

Pokea ombi letu ewe mwenye kuketi

Kuume kwa Baba, uuhurumien

Kwa kuwa ndiwe uliye peke yako

Peke yako mkuu ee Bwana Yesu Kristu

Pamoja na roho Mtakatifu

Katika utukufu, wa Mungu Baba aminan