Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Bwana utuhurumie Bwana, Bwana,
Bwana utuhurumie, Bwana, Bwana utuhurumie
Bwana, Bwana utuhurumie
Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie
Kristu utuhurumie
Bwana . . .
Gloria
Glory to God
{ Utukufu kwa Mungu juu, utukufu kwa Mungu juu
Utukufu kwa Mungu juu, kwa Mungu juu mbinguni } *2n{ Na amani duniani (amani) na amani duniani
Na amani duniani kwa watu wenye mapenzi mema } *2
Tunakusifu - tunakuheshimu,
Tunakuabudu iyo iyo tunakutukuza tunakushukuru
Kwa ajili kwa ajili ya utukufu
Utukufu utukufu wako mkuu
Ee Bwana Mungu mfalme wa mbinguni
Mungu Baba mwenyezi mwenyezi
Ee Bwana Yesu, Bwana Yesu Kristu
Mwana wa pekee wa Mungu
Ee Mwana Mungu, Mwanakondoo wa Mungu wa Mungu
Mwana Mwana wa Baba wa Baba
Mwenye kuondoa dhambi, za dunia utuhurumie
Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia, pokea ombi letu
Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba utuhurumie
Kwa Baba utuhurumie
Kwa kuwa ndiwe uliye peke yako mtakatifu *2
Peke yako Bwana (Bwana) peke yako mkuu
Peke yako mkuu Yesu Kristu
Pamoja na roho, pamoja na roho mtakatifunkatika utukufu - Utukufu wa Mungu baba amina
Amina ....
Aleluya
Alleluia
Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluyan(Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya) x 2
Siwaiti tena watumwa kwa maana mtumwa hajuinhajui atendalo Bwana wake atendalo Bwana wake.
Lakini ninyi nimewaita rafiki kwa kuwa yotenniliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu nimewaarifu Aleluya
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
{ Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu Mtakatifu,
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi } *2
Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa utukufu wako
Hosanna, hosanna hosanna juu Mbinguni hosanna juu
[s] Mbarikiwa mwenye kuja, kwa jina -
Mbarikiwa mwenye kuja kwa jina
Mwenye kuja kwa jina la Bwana, la Bwana
Mwenye kuja kwa jina la Bwana, hosanna
[ b] Hosanna hosanna, hosanna hosanna hosanna, hosannan[w] Hosanna hosanna, hosanna hosanna hosanna, hosanna
Hosanna hosanna, hosanna hosanna hosanna, hosanna
Hosanna hosanna, hosanna, hosanna, hosanna
Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni (hosanna)
Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni (hosanna Mbinguni)
Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni
Lamb of God
Agnus Dei
Mwanakondoo, wa Mungu, uondoaye dhambi za dunia,nuondoaye dhambi za dunia utuhurumie
Mwanakondoo, wa Mungu, uondoaye dhambi za dunia,nuondoaye dhambi za dunia utuhurumie
Mwanakondoo, wa Mungu, uondoaye dhambi za dunia,nutujalie amani utujalie utujalie amani utujalie tujalie amani