Misa Mathare

4 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana utuhurumie *3

Kristu utuhurumie *3

Bwana utuhurumie *3n

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu, mtakatifu

Bwana Mungu wa majeshin

Chorus

Hosanna hosanna hosanna juu

Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako

Mbarikiwa anayekuja kwa jina la Bwanan

Gloria

Glory to God

Utukufu kwa Mungu juu (Mungu juu)

Na amani duniani kwa watu wa mapenzi meman

Upokee sifa na heshima

Utukufu na ibada pia

Ee Mwenyezi, Mungu mkuun

Upokee na shukrani yetu, nkwa ajili ya ‘tukufu wako

Baba na mfalmen

Yesu Kristu mwana wa pekee

Ewe Mwana kondoo wa Mungu

Ndiwe mwana wa Baban

Unayeondoa dhambi zetu

Utuhurumie, ‘tuhurumie

Ombi letu upokeen

Uketiye kuume kwake

Mungu baba, utuhurumie

Ee M-kombozi wetun

Peke yako u mtakatifu

Wewe u peke yako Bwana

Peke yako mkuu Yesu Kristun

Kwa umoja naye Roho Mungu

Na ‘tukufu wake Mungu Baba

Upokee sifa kuun

Lamb of God

Agnus Dei

Mwana kondoo wa Mungu

Unayeondoa dhambi za ulimwengu

Utuhurumie, ewe Bwana *2n

Mwana kondoo wa Mungu

Unayeondoa dhambi za ulimwengu

Utupe amani yako Bwanan