Misa Magharibi

4 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Tunakuomba Bwana, ‘tuhurumie, Bwana ntu wakosefu

Bwana, ‘tuhurumien

Tunakuomba Kristu, ‘tuhurumie

Kristu, makosa tunakirin‘tuhurumien

Tunakuomba Bwana, ‘tuhurumie, Bwanantu wakosefu

Bwana, ‘tuhurumien

Gloria

Glory to God

Utukufu juu mbinguni kwa Mungu, na

Amani duniani kwa watu wenye mapenzi mema n

Tunakuheshimu, tunakusifu

Tunakuabudu, twakutukuzan

Tunakushukuru, Mfalme wa Mbingu

Mwenye utukufu, Baba mwenyezin

Ewe Yesu Mwana wa Baba

Mwana wa pekee mwana kondoon

Unayeondoa makosa yetu

Utuhurumie utusikien

Pamoja na roho Mtakatifu

Kwa ‘tukufu wake Baba milelen

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu Mtakatifu ee Bwana Mtakatifu

Bwana Mungu wa majeshi n

Mbingu na dunia yote

Kweli zimejaa

Utukufu wako, Bwanan

Chorus

Hosanna *2 hosana juu Mbinguni

Mbarikiwa mwenye kuja

Kwa jina la bwana n

Lamb of God

Agnus Dei

Mwana kondoo wa Mungu, ee

Unayeziondoa dhambi zetu, ‘tuhurumie*2n

Mwanakondoo wa Mungu, ee

Unayeziondoa dhambi zetu, ‘tupe amanin