Misa Kiserian

3 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Utuhurumie

Bwana utuhurumie

Ee Bwana *2

Bwana utuhurumie

Kristu utuhurumie

Kristu utuhurumie *2

Utuhurumie

Bwana utuhurumie

Ee Bwana *2

Bwana utuhurumie

Gloria

Glory to God

Chorus

Utukufu kwa Mungu juu mbinguninna amani na amani ulimwenguni

Ulimwenguni kwankwa watu wenye mapenzi mema

Tunakusifu, tunakuheshimu,ntwakuabudu, tunakutukuza

Twakushukuru, mfalme wa Mbinguni,nkwa ajili ya utukufu wako

Ee bwana Mungu, Mfalme wa mbinguni,

Baba Mwenyezi, Muumba wa wote

Ee Bwana Yesu, Mwana wa pekee

Mwana kondoo, Mwana wake Mungu.

Uondoaye, dhambi za dunia,ntuhurumie, utuhurumie

Uondoaye, dhambi za dunia,nulipokee, hili ombi letu.

Unayeketi kuume kwa Baba tuhurumie,nutuhurumie, Kwa kuwa wewe,nndiwe peke yako, Mtakatifu,npeke yako Bwana

Peke yako mkuu, Bwana Yesu Kristu,npamoja naye, Roho Mtakatifu

Kwa utukufu, wake Mungu Baba,nmilele yote, Amina, Amina

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mwanakondoo (mwana) wa Mungu

Uondoaye dhambi za ulimwengu

Utuhurumie, utuhurumien

Mwanakondoo (mwana) wa Mungu

Uondoaye dhambi za ulimwengu

Utuhurumie, utuhurumien

Mwanakondoo (mwana) wa Mungu

Uondoaye dhambi za ulimwengu

Utujalie amanin