Chorus
Utukufu kwa Mungu juu mbinguninna amaninna amani
Duniani
Duniani kwankwa watu wenye mapenzi mema
Verse 2
Tunakusifu, tunakuheshimu,ntwakuabudu, tunakutukuza
Twakushukuru, mfalme wa Mbinguni,nkwa ajili ya utukufu wako.
Verse 3
Ee bwana Mungu, Mfalme wa mbinguni,
Baba Mwenyezi, Muumba wa wote
Ee Bwana Yesu, Mwana wa pekee
Mwana kondoo, Mwana wake Mungu.
Verse 4
Uondoaye, dhambi za dunia,ntuhurumie, utuhurumie
Uondoaye, dhambi za dunia,nulipokee, hili ombi letu.
Verse 5
Unayeketi kuume kwa Baba tuhurumie,nutuhurumie, Kwa kuwa wewe,nndiwe peke yako, Mtakatifu,npeke yako Bwana
Verse 6
Peke yako mkuu, Bwana Yesu Kristu,npamoja naye, Roho Mtakatifu
Kwa utukufu, wake Mungu Baba,nmilele yote, Amina, Amina