SectionsEucharistMisa Kiserian (Ninasadiki)

Misa Kiserian (Ninasadiki)

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Ninasadiki, ninasadiki, ninasadiki

Ninasadiki, ninasadiki

Verse 2

Ninasadiki kwa Mungu mmoja,

Baba mwenyezi muumba wa mbingu

Na vitu vinavyoonekana pia ambavyonhavionekani

Verse 3

Ninasadiki kwa Yesu Kristu,

Mwana wa pekee

Mwana wake Mungu

Mwanga kwa Mwanga na Mungu kweli,

Tangu milele atoka kwa Baba

Verse 4

Aliyezaliwa bila kuumbwa, mwenyenumungu mmoja na Baba

Ambaye vitu vyote vimeumbwa naye,nameshuka toka mbinguni

Kwa ajili yetu sisi wanadamu, na kwanajili ya wokovu wetu

Verse 5

Akapata mwili kwa uwezo wa Roho

Mtakatifu, kwake yeye

Bikira Maria akawa mwanadamu,nakasulibiwa

Pia kwa ajili yetu sisi, akateswa kwanmamlaka ya Ponsyo Pilato

Akafa akazikwa

Verse 6

Akafufuka siku ya tatu kapaa mbinguninilivyoandikwa

Atarudi tena kwa utukufu kuwahukumunwazima na wafu

Verse 7

Ninasadiki pia kwa Roho, Mtakatifu,nmleta uzima

Atokaye kwao Baba na Mwana,naliyenena, kwao manabii

Ninasadiki, kanisa moja,nkatoliki, hilo la mitume,

Ninaungama na ubatizo,nufufuko na, uzima milele.