SectionsEucharistMisa Kiserian (Mwana Kondoo)

Misa Kiserian (Mwana Kondoo)

Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Mwanakondoo (mwana) wa Mungu

Uondoaye dhambi za dunia

Utuhurumie, utuhurumie

Mwana mwanakondoo wa Mungu

Mwana kondoo - Wa Mungunwa – ke Mungu

Mwanakondoo wa Mwana kondoo wake

Mungu

Uondoaye dhambi za dunia

Uondoaye dhambi, dhambi za dunia

Uondoaye dhambi za dunia

Utujalie amani.