Chorus
Baba yetu uliye mbinguni
Jinalo litukuzwe
Baba yetu ufalme wako ufke (ewe Baba)
Utusamehe makosa yetu
Kama twawasemehe
Baba na sisi wale watukoseao (ewe Baba)
Verse 2
Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni
Utupe leo mkate wetu
Mkate wa kila siku
Verse 3
Situtie katika vishawishi, Baba yetu
Lakini utuopoe
Tuopoe maovuni
Verse 4
Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu
Na nguvu utukufu
Utukufu hata milele