Misa Kenya

4 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana wetu, twakuomba huruma yako

Bwana utusamehe sisi wana wako

Makosa yetun

Yesu kristu twakuomba huruma yako,

Kristu, utusamehe sisi ndugu zako

Makosa yetun

Bwana wetu, twakuomba huruma yako

Bwana utusamehe sisi wana wako

Makosa yetun

Gloria

Glory to God

Utukufu mbinguni, kote ulimwenguni

Utukufu juu mbinguni, na amani ulimwengunin

Tumsifu Mungu, tumwabudu

Na heshima tumpe tumtukuzen

Ndiwe Mungu Baba na Mwenyezi

Uliumba Mbingu na dunian

Yesu Kristu, u Mwana wa Baba

Na mwana kondoo, Mkombozin

Mwenye kuzifuta dhambi zetu

Utuhurumie, ‘tusikien

Pokeeni sifa kwa utatu

Baba, Mwana, Roho Mtakatifun

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Ee Mtakatifu- ee Mtakatifu

Ee mtakatifu Bwana wetu Mungu,

Mungu wa majeshin

Mbingu na dunia kweli zimejaa

Utukufu wako

Kweli zimejaa utukufu wakon

Chorus

Hosanna- juu hosanna mbinguni *2

Amebarikiwa yule mwenye kuja

Kwa jina la Bwanan

Lamb of God

Agnus Dei

Ee Mwana kondoo wa Mungu uondoaye

Dhambi za ulimwengu, utuhurumie *2n

Ee Mwana kondoo wa Mungu uondoaye

Dhambi za ulimwengu, utupe amanin