Misa Kariobangi

4 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Utuhurumie

Ee Bwana, ee Bwana, ee Bwanan‘Tuhurumie

Ee Bwana, ee Bwana, ee Bwana, Bwana,nutuhurumie.

Utuhurumie

Ee Kristu, ee Kristu, ee Kristun‘Tuhurumie

Ee Kristu, ee Kristu, ee Kristu, Kristu,nutuhurumie.

Utuhurumie

Ee Bwana, ee Bwana, ee Bwanan‘Tuhurumie

Ee Bwana, ee Bwana, ee Bwana, Bwana,nutuhurumie.

Gloria

Glory to God

Chorus

Utukufu juu kwa Mungu,nutukufu juu mbinguni

Na amani kote duniani kwa wenyenmapenzi mema

Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu,

Tunakutukuza, twakushukuru kwa ajili ya

Utukufu wako mkuu

Ewe Mungu, ndiwe Mfalme wa mbinguni,

Baba Mwenyezi,

Ewe Bwana Yesu Krisu, wa pekee

Mwana wa Baba

Ewe Yesu, Mwanakondoo wa Mungu,

Mwana wa Baba,Ewe mwenye kuziondoa dhambi zetu,n‘tuhurumie.n

Ewe mwenye kuziondoa za duniandhambi za watu

Ewe mwenye rehema nyingi,nupokee maombi yetu.

Uketiye kuume kwake Mungu Baba,n‘tuhurumie,

Kwa kuwa ndiwe uliye peke yako

Mtakatifu,n

Peke yako ni wewe Bwana, peke yako

Bwana Mkuu,

Peke yako ni Mkombozi,npeke yako Yesu Kristu.

Naye Roho Mtakatifu, katikan‘tukufu wake,

Mungu mmoja anayeishi na kutawalanmilele yote

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu, Mtakatifu, mtakatifu, Bwana

Mungu – Wa majeshi

Mbingu na dunia zimejaa ‘tukufu wako

Chorus

Hosana - Hosanna juu mbinguni}

Hosana - Hosana juu mbinguni} *2n

Mbarikiwa - Anayekuja kwa jina lake

Bwana Mungu *2

Hosana - Hosanna juu mbinguni}

Hosana - Hosana juu mbinguni} *2n

Lamb of God

Agnus Dei

Ee Mwana Kondoo -

Uondoaye dhambi za ulimwengu, utuhurumie

Ee Mwana Kondoo -

Uondoaye dhambi za ulimwengu, utuhurumie

Ee Mwana Kondoo -

Uondoaye dhambi za ulimwengu, utujalie amani