Chorus
Utukufu juu kwa Mungu,nutukufu juu mbinguni
Na amani kote duniani kwa wenyenmapenzi mema
Verse 2
Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu,
Tunakutukuza, twakushukuru kwa ajili ya
Utukufu wako mkuu
Verse 3
Ewe Mungu, ndiwe Mfalme wa mbinguni,
Baba Mwenyezi,
Ewe Bwana Yesu Krisu, wa pekee
Mwana wa Baba
Verse 4
Ewe Yesu, Mwanakondoo wa Mungu,
Mwana wa Baba,
Ewe mwenye kuziondoa dhambi zetu,n‘tuhurumie.
Verse 5
Ewe mwenye kuziondoa za duniandhambi za watu
Ewe mwenye rehema nyingi,nupokee maombi yetu.
Verse 6
Uketiye kuume kwake Mungu Baba,n‘tuhurumie,
Kwa kuwa ndiwe uliye peke yako
Mtakatifu,
Verse 7
Peke yako ni wewe Bwana, peke yako
Bwana Mkuu,
Peke yako ni Mkombozi,npeke yako Yesu Kristu.
Verse 8
Naye Roho Mtakatifu, katikan‘tukufu wake,
Mungu mmoja anayeishi na kutawalanmilele yote.