SectionsEucharistMisa Kariobangi (Mwana Kondoo)

Misa Kariobangi (Mwana Kondoo)

Ordinary Time,MarianEucharist
Verse 1

Ee Mwana Kondoo -

Uondoaye dhambi za dunia, utuhurumie.

Ee Mwana Kondoo -

Uondoaye dhambi za dunia, utuhurumie.

Ee Mwana Kondoo -

Uondoaye dhambi za dunia, utujalienamani.