SectionsEucharistMisa Kariobangi (Mtakatifu)

Misa Kariobangi (Mtakatifu)

Ordinary Time,MarianEucharist
Verse 1

Mtakatifu, Mtakatifu, mtakatifu, Bwana

Mungu – Wa majeshi

Mbingu na dunia zimejaa ‘tukufu wako.

Hosana - Hosanna juu mbinguni}

Hosana - Hosana juu mbinguni}x2

Verse 2

Mbarikiwa - Anayekuja kwa jina lake

Bwana Mungu x2

Hosana.. x2