Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Bwana uturehemu, uturehemu *2
Ewe mwenye huruma- uturehemu
Tunakukimbilia- uturehemu
Sisi tu wakosefu
Dhambi tunazitubun
Kristu uturehemun(ndugu yetu na Mwokozi, uturehemu) *2n
Gloria
Glory to God
Tunakusifu twakuheshimu
Twakuabudu twakutukuza *2n
Mungu Baba wa mbinguni- utukufu kwako
Muumba na mtunzi wetun
Mwana wa pekee, yesu
Ndugu na mwokozi wetun
Roho Mungu Mtakatifu
Mtakasa, Mfarijin
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Mtakatifu, ee mtakatifu, ee
Mtakatifu, ee mtakatifu, ee
Mungu wa majeshin
Mungu Baba wa mbinguni- utukufu kwako
Muumba na mtunzi wetun
Mbingu na dunia yote
Zimejaa utukufu wakon
Hosanna juu mbinguni, hosanna juu
Hosanna juu mbinguni, hosanna juu, juun
Lamb of God
Agnus Dei
Ee mwana kondoo wa Mungu,
Mwenye kuondoa dhambi zetu
Utuhurumie, ewe Bwana *2n
Ee mwana kondoo wa Mungu,
Mwenye kuondoa dhambi zetu,
Utujalie amanin