Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Bwana, Bwana utuhurumien‘tuhurumie Bwana n
Kristu, Kristu utuhurumien
Bwana, Bwana utuhurumien‘tuhurumie Bwana n
Gloria
Glory to God
Utukufu mbinguni, juu kwa Mungu
Na amani, kwa watu duniani koten
Tunakuheshimu, pia twakusifu
Tunakuabudu, tunakutukuzan
Unayeondoa dhambi za dunia
Utuhurumie, utusikilizen
Kwa Baba kuume, wewe unaketi
Ndiwe Mtakatifu, mkuu Yesu Kristun
Pamoja na Roho, Roho mfariji
Tumtolee sifa Mungu, Baba yetun
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Ee Mtakatifu, Ee Mtakatifun(Mtakatifu mtakatifu)
Ee Mtakatifu Bwana Mungu
Mungu wa majeshin
Hosana juu hosanna mbinguni *2
Mbingu na dunia zimejaa,n(zimejaa zimejaa)
Utukufu wako, zimejaa utukufu wakon
Amebarikiwa yule mwenye kuja,n(yule mwenye kuja)
Kwa jina la Bwanan
Lamb of God
Agnus Dei
Mwana kondoo wa Mungu
Uondoaye dhambi za dunia, utuhurumie *2n
Mwana kondoo wa Mungu,
Uondoaye dhambi za dunia, utupe amaninn