Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Bwana tuhurumie tuhurumie, Bwana ee
Bwa-na, Bwa-na tuhurumie *2
Kristu- tuhurumie kristu -tuhurumie
Kristu- tuhurumie -kristu tuhurumie *1
bwana tuhurumie, tuhurumie bwana ee
Bwa-na, Bwa-na, Bwana tuhurumie *2
Gloria
Glory to God
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni
Na amani duniani kwa watu wa mapenzinmeema tunakushukuru kwa jili ya utukufunwako mkuu
(Tunakusifu tunakuheshimu tunakuabuduntunakutukuza) *2
Ee Bwana we Mungu ni mwana kondoonwa Mungu,
Mwana wake Baba mwenye kuondoandhambi za watu;
Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia,
Mungu;
Utuhurumie ombi letu upokee
Ewe mwenye kuketi kuume kwa Babanmwenyezi;
Utuhurumie ndiwe pekee yako mtakatifu
Peke yako ni Bwana wa pekee mkuu
Yesu Kristu;
Pamoja na Roho katika utukufu wa
Mungu baba
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Mtakatifu mtakatifu mtakatifu Bwana
Bwana Mungu Bwana Mungu wa majeshi
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
Hosana, Hosana, Hosana,Hosana,
Hosanna juu Mbinguni *2
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Mtakatifu mtakatifu mtakatifu Bwana
Bwana Mungu Bwana Mungu wa majeshi
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
Hosana, Hosana, Hosana,Hosana,
Hosanna juu Mbinguni *2