Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Bwana, Bwana, Bwana, ‘tuhurumie
Bwana, Bwana, Bwana, utuhurumie
Ee Bwana, Bwana, ‘tuhurumien
Kristu, ‘tuhurumie, Kristu, ‘tuhurumie
Kristu, ‘tuhurumie, Kristu, ‘tuhurumie
Bwana, Bwana, Bwana, ‘tuhurumie
Bwana, Bwana, Bwana, utuhurumie
Ee Bwana, Bwana, ‘tuhurumien
Gloria
Glory to God
Utukufu juu kwa Mungu Mbinguni na
Amani duniani kote kwao wenye mapenzi meman
Tunakusifu tunakuheshimu
Twakuabudu tunakutukuzan
Twakushukuru mwenye utukufu,
Mfalme wa Mbingu, Mungu Baba yetun
Ee Bwana Yesu, Mwana wa pekee,
Uliye Mwana kondoo wa Mungun
Mwenye kufuta dhambi za dunia n‘tuhurumie, utusikilizen
Unayeketi kuume kwa Baba,
U peke yako mkuu Yesu Kristun
Pamoja naye Roho Mtakatifu,
Katika utukuu wake Baban
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu
Mungu wa majeshin
Mbingu na dunia, mbingu na dunia
Zimejaa, zimejaa utukufu wakon
Hosana *3 hosana juu mbinguni
Mbarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana
Lamb of God
Agnus Dei
Ee Mwana kondoo wa Mungu, unaye
Ondoa dhambi zetu, ‘tuhurumie *2n
Ee Mwana kondoo wa Mungu, unaye ondoa
Dhambi zetu, ‘tupe amani
Tupe amani yako, ‘tupe amani.n