Misa Faraja

4 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Ee Bwana Mungu wetu, utuhurumie, Utuhurumie n

Kristu Mungu wetu twakuomba ‘tuhurumie

Ee Bwana Mungu wetu, utuhurumie, Utuhurumie

Gloria

Glory to God

Utukufu kwa Mungu mbinguni

Na amani kote dunianin

Sifa kwako Baba u mtukufu

Sana ee Mwenyezin

Utukuzwe, Bwana newe mwana kondoo wake Mungun

Mwana wake Baba

Waondoa dhambi za dunian

Utuhurumie , unayeondoa

Dhambi zetun

Wewe unayeketi kuumeni

Kwake Mungu Baban

Asifiwe pia Roho Mtakatifu, mfariji

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu

Bwana Mungu wa majeshin

Chorus

Hosana juu mbinguni, juu mbinguni *3

Mbingu na dunia kweli

Zimejaa utukufu wako hosanna juun

Amebarikiwa ajayekwa jina la Bwana

Hosanna juun

Lamb of God

Agnus Dei

Mwana, Mwana Kondoo wa Mungu,

Unayeondoa dhambi za ulimwengu, ‘tuhurumie *2n

Mwana, Mwana kondoo wa Mungu,

Unayeondoa dhambi za dunian‘tupe amanin