SectionsSign of PeaceMisa Fadhili (Utukufu)

Misa Fadhili (Utukufu)

Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary TimeSign of Peace
Chorus

Utukufu kwa Mungu mbinguni,

Utukufu kwako Mungu mbinguni,

Na amani pote duniani

Kwao watu wa mapenzi mema.

Verse 2

Tunakuheshimu, tunakusifu

Tunakuabudu, twakutukuza, ee Bwana

Verse 3

Tunakushukuru, mfalme wa mbingu,

Mwana wa pekee, Mwana wa Baba,

Ee Bwana –

Verse 4

Unayeondoa makosa yetu,

Utuhurumie, ‘tusikilize, ee Bwana –

Verse 5

Ku-ume kwa Baba unapoketi,

Mtakatifu, Mkuu, ‘tuhurumie, ee Bwana –

Verse 6

Roho Mtakatifu pamoja nawe,

Ndani yake Baba unatukuzwa,nee Bwana –