SectionsEucharistMisa Fadhili (Nasadiki)

Misa Fadhili (Nasadiki)

Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Nasadiki, ninasadiki.

Nasadiki kwa Mungu Baba,

Mwumba wa vyote,

Nasadiki kwa Yesu Kristu,

Mwana wa pekee.n

Chorus

Nasadiki, ninasadiki. x2

Verse 3

Kwa uwezo wa Roho Mungu katwa-a mwili,

Na hapo Bikira Maria kawa mamaye.n53

Kwa amri ya Ponsyo Pilato kasulibiwa,

Akafa, ‘kazikwa, akashukia kuzimu.

Verse 4

Siku ya tatu kafufuka, kapaa mbinguni,

Kaketi kuume kwa Mungu,

Baba Mwenyezi.

Verse 5

Atarudi siku ya mwisho kutuhukumu.

Nasadiki kwa Roho Mfariji Mtakatifu.

Kanisa pia, takatifu na katoliki;

Ushirika wa watakatifu wa mbinguni.

Verse 6

Na maendeleo ya dhambi kwa ubatizo;n‘fufuko wa mi-ili, uzima wa milele.