SectionsSign of PeaceMisa Fadhili (Bwana Uturuhumie)

Misa Fadhili (Bwana Uturuhumie)

Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,MarianSign of Peace
Verse 1

Bwana, Bwana, utuhurumie, ee Bwana

Bwana, Bwana, Bwana, Bwana, utuhurumie,n(Bass) ee Bwana, na kurudia kutoka

Kristu, Kristu, utuhurumie, ee Bwana…

Verse 2

Mwana kondoo wa Mungu tupe amani x2

Uondoaye dhambi zetu tupe amani x2

Utupe amani Ee Bwana utupe amani x2

Utupe amani Ee Bwana utupe amani x2