Misa Embakasi

3 sections

Gloria

Glory to God

Utukufu kwa Mungu mbinguni

Na amani kwao watu ulimwengunin

Sote twakusifu, tena tunakuheshimu

Tunakuabudu Baba tunakutukuzan

Tunakushukuru kwa ‘tukufu wako mkuu

Ewe Bwana Mungu, ndiwe mfalme wa Mbingunin

Bwana Yesu Kristu, Mwana wa pekee wa Mungu

U mwana kondoo wake Mungu Baba yetun

Mwenye kuondoa dhambi utuhurumie

Kwa rehema zako upokee ombi letun

We’ unayeketi kuume kwa Mungu Baba

Utuhurumie, we’ uliye Mtakatifunn

Bwana mkuu Kristu, naye Roho Mtakatifu

Mwenye kushiriki utukufu wake Baban

Holy Holy

Holy, Holy, Holy

Ee Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana

Bwana Mungu wetu, Mungu wa majeshin

Mbingu na dunia, mbingu na dunia

Kweli zimejaa utukufu wakon

Amebarikiwa, amebarikiwa Yule

Mwenye kuja kwa jina la Bwana n

Hosanna juu, hosanna juu

Hosanna juu, juu mbingunin

Lamb of God

Agnus Dei

Mwana kondoo wake Bwana Mungun(Mwana kondoo wa Mungu)

Unayeondoa dhambi , ‘tuhurumie,

Tuhurumie Mwana kondoo wake Bwana Mungu *2n

Mwana kondoo wake Bwana Mungun(Mwana kondoo wa Mungu)

Unayeondoa dhambi , utujalie amani

Utujalie amani Mwana kondoo wake Bwana Mungu *2n