MISA ELIZABETI

2 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana Bwana, Bwana tuhurumie *2

Kristu Kristu, Kristu tuhurumie *2

Bwana Bwana, Bwana tuhurumie *2

Lamb of God

Agnus Dei

Mwanakondoo wa Mungu

Ewe unayeondoa dhambi za dunia tuhurumie *2

Mwanakondoo wa Mungu

Ewe unayeondoa dhambi za dunia tuhurumie *2

Mwanakondoo wa Mungu

Ewe unayeondoa dhambi za dunia tujalie amani*2