Gloria
Glory to God
Utukufu kwa Mungu *2,nna amani duniani *2, kwa watu wenyenmapenzi (kwa watu wenye),nkwa wenye mapenzi mema.
Tunakusifu Bwana, tunakuheshimu
Twakuabudu Bwana, tunakutukuza
Twakushukuru Baba Mwenyezi,n
Mfalme wa Mbinguni
Ee Bwana Yesu Kristu Mwana wa pekee
Mwana kondoo wa Mungu,
Mwana wake Baba
Uondoaye makosa yetu utuhurumie
Tunakusihi Bwana utusikilize
Wewe unayeketi kuume kwa Baba
Ni peke Bwana ni Mtakatifu mkuu Yesu Kristu
Pamoja naye Mungu Roho Mtakatifu
Katika utukufu wake Mungu Baba
Milele yote, milele yote, Amina. Amina.
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Mtakatifu Bwana
Mtakatifu,nmtakatifu Mungu wa majeshi *2
Mtakatifu Bwana
Mtakatifu,nmtakatifu Mungu wa majeshi *2
Hosana Hosanankwa Mwana wa Daudi
Hosana, Hosana kwa Mwana wa Daudi
Hosana, Hosana;
Hosana juu mbinguni
Hosana, Hosana, Hosana juu mnbinguni
Mbarikiwa yeye mwenye kuja
Kwa jina la Bwana mwenye kuja
Mbarikiwa mwenye kujankwa jina la Bwana
Lamb of God
Agnus Dei
Mwana kondoo wa Mungu tuhurumie *2
Uondoaye dhambi zetu tuhurumie *2
Mwana kondoo wa Mungu tupe amani *2
Uondoaye dhambi zetu tupe amani *2
Utupe amani Ee Bwana utupe amani *2
Utupe amani Ee Bwana utupe amani *2