Chorus
Utukufu kwa Mungu x2,nna amani duniani x2, kwa watu wenyenmapenzi (kwa watu wenye),nkwa wenye mapenzi mema.
Verse 2
Tunakusifu Bwana, tunakuheshimu
Twakuabudu Bwana, tunakutukuza
Twakushukuru Baba Mwenyezi,
Mfalme wa Mbimguni
Verse 3
Ee Bwana Yesu Kristu Mwana wa pekee
Mwana kondoo wa Mungu,
Mwana wake Baba
Uondoaye makosa yetu utuhurumie
Tunakusihi Bwana utusikilize
Wewe unayeketi kuume kwa Baba
Ni peke Bwana ni Mtakatifu mkuu Yesu Kristu
Verse 4
Pamoja naye Mungu Roho Mtakatifu
Katika utukufu wake Mungu Baba
Milele yote, milele yote, Amina. Amina