Chorus
Ninasadiki Kwa Mungu, Nasadiki, nasadiki
Ninasadiki kwa Mungu (kweli) nasadiki x2
Verse 2
Nasadiki kwa Mungu Baba,
Muumba wa Vyote,nanayetawala milelen
Verse 3
Nasadiki Mwanaye Yesu,
Mwana wa Mungu;
Mwana wa Maria, Mkombozi wetu
Verse 4
Alitufa sadaka yetu;
Akafufuka siku ya tatu,nakapaa mbinguni
Verse 5
Amekaa kuume kwa Baba,natarudi siku ya mwisho
Kuwahukumu wazima na wafu
Verse 6
Nasadiki kwa Roho Mtakatifunna kanisa Katoliki
Tulipobatizwa, tukapewa uzima wa Mungu
Tukaondolewa dbambi zetu
Verse 7
Tutafufuka mwili na roho;nna kuishi na Mungu milele, milele Amina