SectionsEucharistMisa Cosmas (Mtakatifu)

Misa Cosmas (Mtakatifu)

Ordinary Time,MarianEucharist
Verse 1

Mtakatifu Bwana

Mtakatifu,nmtakatifu Mungu wa majeshi x2

Mbingu na dunia zimejaa

Utukufu wako zimejaa

Zimejaa, zimejaa utukufu wako

Hosana Hosanankwa Mwana wa Daudi

Hosana, Hosana kwa Mwana wa Daudi

Hosana, Hosana;

Hosana juu mbinguni

Hosana, Hosana, Hosana juu mnbinguni

Mbarikiwa yeye mwenye kuja

Kwa jina la Bwana mwenye kuja

Mbarikiwa mwenye kujankwa jina la Bwana

Hosana, Hosanan(as above up to “juu mbinguni”)