Mimina Neema
Mimina kama vile zilivyojaa juu
Mimina ziteremshe tuzipokee Bwanan
Mimina neema zako mimina kati yetu
Mimina neema tele mimina Mungu wetu
Mimina (leo) neema nyingi mimina tufurahi
Mimina Bwana leo mimina ee
Bwana miminan
Mimina ulivyomimina kwa Abrahamu
Mimina uwamiminiavyo wamchao Bwana
Mimina tujae nguvu za kukutukuza
Mimina tukazieneze sifa zako Bwanan
Twakuinulia mikono huko uliko juu
Tazama wana wako tunaomba neema
Mimina neema mimina (Bwana Mungu
Mimina neema mimina)
Tunaomba Bwana (ewe Mungu mimina)n
Mimina neema neema mimina
Mimina kwa wote tulio hapa
Tujaze neema mimina
Mimina neema mimina
Mimina hata walio mbali
Peleka neema miminan
Mimina usiku ee
Mimina mchana ee
Mimina neema mimina
Mimina masika ee mpaka kiangazi
Daima neema mimina
Mimina neema mimina n(Bwana Mungu mimina
Mimina neema mimina, daima)n