Chorus
{ Mimi niutazame - Mimi niutazame
Mimi niutazame - niutazame (uso)
Niutazame uso wako katika haki } *2n{ Niamkapo nishibishwe *3
Nishibishwe kwa sura yako }*2
Verse 2
Ewe Bwana nguvu zangu, nakupenda sana
Mungu wangu Mwamba wangu, nakupenda sana
Verse 3
Bwana Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli
Mungu wangu Mwamba wangu, nakupenda sana