Mimi Ninapiga Picha
Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1
Mimi ninapiga picha mbinguni itakavyokuwa
Tutakapomwona mwokozi kwenye kiti cha enzi
Chorus
Polo to wan wa mor *2
Mbinguni kutakuwa raha,
Polo to wan wa mor *2
Verse 3
Siku hiyo ikifika sauti zetu tutapaza
Tukiimba nyimbo za shangwenkwake mwenyezi Mungu
Verse 4
Tutaruka kama ndama pamoja nao malaika
Tutacheza tukizunguka kiti chake cha enzi.
Verse 5
Tutang'aa kama mwezi vyakula vingi tutakula
Tutakunywa tukifurahi naye mwanakondoo
Verse 6
Ole wenu wenye dhambi mlango utakapofungwa
Nguvu zake yeye shetani Bwana atazishinda.