Mimi Nikushukuruje
Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
[ s ] Mimi nikushukuruje Bwana -n[ w ] Mungu wangu nikushukurujen[ s ] Kwa mema mengi umenijalia -n[ w ] Mungu wangu nikushukurujen{ Umenipa uhai napendeza, umenipa nyumba pia watoto,
Nafikiri nikushukuruje Mungu wangu ninasema asante }*2
Verse 2
Umenijalia mali, nikutumikie wewe
Niwagawie maskini, wajane pia yatima
Verse 3
Umenipa na akili nitambue mambo yote
Mabaya niweke kando, mazuri nitumikie.
Verse 4
Umenipa na chakula kilichotoka mbinguni
Chenye kushibisha roho, ili nifike mbinguni.