SectionsEucharistMimi Ni Mzabibu

Mimi Ni Mzabibu

Easter,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Mimi ni mzabibu, mimi ni mzabibu

Nanyi mu matawi yangu *2

Verse 2

Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu -

Kwani mu matawi nami kweli ni mzabibu

Verse 3

Nje yangu mimi hamuwezi kuzaa kwani . . .

Verse 4

Tawi lizaalo, lizidi kuzaa kwani . . .

Verse 5

Furaha yangu iwe, ndani yenu kwani . . .

Verse 6

Ombeni lolote, nanyi mtapewa kwani . . .

Verse 7

Amri yangu ndiyo, mpate kupendana kwani . . .

Verse 8

Niliwachagua, muwe rafiki zangu kwani . . .

Verse 9

Zaeni matunda, yapate kukaa kwani . . .