Chorus
Bwana akawaambia tena akasema,
Mimi ndimi njia ukweli na uzima *2
Mtu haji kwa Baba yangu, ila kwa njia yangu mimi
Mimi ndimi njia ukweli na uzima
Verse 2
Mtu akinipenda, atalishika neno langu,
Na Baba yangu atampenda
Verse 3
Kaeni ndani yangu nami, nikae ndani yenu
Kwa maana mimi ni mzabibu
Verse 4
Mimi ni njia kweli, mimi ni njia ya uzima
Ajaye kwangu ana uzima