Verse 1
Mimi ndimi mwanzo tena mwisho Bwana kasema
Nitawaokoa watu wangu kwa dhambi zao
Chorus
Asifiwe -asifiwe Bwana wa majeshi
Ameshinda -ameshinda dhambi za dunia
Utukufu -Utukufu uwe naye sasa
Tangu leo -tangu leo hata na milele mm
Verse 3
Kule kaburini alimfufua yule Lazaro
Tena akaokoa yule mama Msamaria
Verse 4
Kule Galilaya aligeuza maji divai,
Ukimwamini Yesu atageuza maisha yako