Chorus
Mimi ndimi chakula cha uzima
Chakula cha uziman{Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu
Huyo anao uzima wa milele } *2
Verse 2
Mimi ndimi chakula cha uzimankilichoshuka kutoka mbinguni
Alaye chakula hiki ataishi milele
Verse 3
Chakula nitakachowapa mimi
Ni mwili wangu pia na damu yangu
Ni kwa ajili ya uzima wa ulimwengu
Verse 4
Aulaye mwili na damu yangu
Huyo ana uzima wa milele
Nami nitamfufua siku ya mwisho