SectionsThanksgivingMimi Nashindwa

Mimi Nashindwa

Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Mimi nashindwa ni namna gani nikushukuruje

Bwana (wangu), Kwani mema yote unayonitendeanni ya ajabu kwangu (mimi)

Sikiliza Bwana kilio changu cha kukushukuru

Ninakushukuru Bwana wangunmimi nakushukuru Nasema asante (sana) Baba

Verse 2

Unitoe katika bonde la aibu,

Uniweke katika kundi la kondoo wako

Verse 3

Nilisifu daima jina lako wewe,

Nikiwa ni shahidi niliye ndani ya Baba