Chorus
|s| Milele milele msifuni Bwana, mi -le -lenmilele milele msifuni Bwana msifuni msifunin|t| Milele milele msifuni Bwananmilele msifuni Bwana milele msifu msifunin|b|Milele milele Bwana msifunin|a| Milele milele msifuni
Chorus
[b] {Pazeni sauti semenin[w] Na ahimidiwe Bwana Mungu,
Bwana Mungu kutoka Sayuni aleluya} *2
Verse 3
Ninyi msimamao nyumbani mwa Bwana
Sifuni jina lake Bwana
Verse 4
Mlango wa Haruni msifuni Bwana
Sifuni jina lake Bwana
Verse 5
Sifuni Bwana kutoka sayuni
Sifuni jina lake Bwana