Chorus
Mfanyieni shangwe dunia yote,
Na mtumikieni kwa furaha. x2
Verse 2
Njooni mbele za Bwana kwa kuimba,njueni kwamba yeye ndiye Mungu.n
Alituumba tuko watu wake, sisi ninkondoo wa malishoye.n
Piteni malangoni kwa shukurani,ndaima himidini jina lake.