Mfanyie Shangwe
Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,MarianThanksgiving
Chorus
Mfanyieni shangwe dunia yote,
Na mtumikieni kwa furaha. x2
Verse 2
. Njooni mbele za Bwana kwa kuimba,njueni kwamba yeye ndiye Mungu.
Verse 3
Alituumba tuko watu wake, sisi ninkondoo wa malishoye.
Verse 4
Piteni malangoni kwa shukurani,ndaima himidini jina lake.