Mfano Huu

Easter,Easter,Ordinary TimeOffertory
Chorus

Mfano huu ni wa nani, ni sura ya Kaisari *2

Basi, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari

Pia, Mpeni naye Mungu yaliyo yake Mungu

Verse 2

Mafarisayo walimwuliza,

Kama ni halali kulipa kodi kwa Kaisari

Verse 3

Lakini Yesu akatambua,

Uovu wao na kujua wanamjaribu

Verse 4

Tutoe zile zake Kaisari,

Pia tumpe Mungu vilivyo vyake Mungu

Verse 5

Mafarisayo walishangaa,

Pia wakamuacha na wakaenda zao