SectionsEntranceMfalme Wa Israeli

Mfalme Wa Israeli

EasterEntrance
Verse 1

Ilipofika siku kuu Yerusalemunyesu alipanda punda

Wana Israeli wakaja wakapiga kelelenwakisema

Verse 2

Hosanna - hosanna hosanna *2

Mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana *2

Verse 3

Nao walitwaa matawi ya mitende *2

Wakatoka kumlaki wakipiga makelele *2

Verse 4

Usiogope Binti Sayuni, kwani mfalmeo anakuja