Chorus
Mfalme wa Amani - tumwimbie hosanna juu *2
Verse 2
Anakuja kwetu - hosanna juu
Mwana wa Daudi - hosanna juu
Verse 3
Anapanda punda - hosanna juu
Mfalme mtukufu - hosanna juu
Verse 4
Tumshangilie - hosanna juu
Aleta amani - hosanna juu
Verse 5
Njooni na matawi - hosanna juu
Furaha na shangwe - hosanna juun
Verse 6
, Tandikeni nguo - hosanna juu
Miguuni pake - hosanna juu
Verse 7
Ameumba vyote - hosanna juu
Atawala vyote - hosanna juu
Verse 8
Njooni Mahebruni - hosanna juu
Njooni na watu wote - hosanna juu
Verse 9
Imbeni zaburi - hosanna juu
Mfalme aingie - hosanna juu
Verse 10
Mbarikiwa huyo - hosanna juu
Yeye ajaye - hosanna juu
Verse 11
Hosanna hosanna - hosanna juu
Hosanna hosanna - hosanna juu