Verse 1
Mfalme mtukufu mpeni heshima
Fungueni lango ataingia
Mfalme gani huyu mwenye heshima
Ndiye mwenye nguvu ya kutawala
Verse 2
Lango la milele wazi funguka
Kwani mfalme wetu anaingia
Mfalme gani huyu mwenye heshima
Bwana wa malaika mwenye Imara
Verse 3
Enyi binadamu wenye ibada
Na majeshi yote ya malaika
Tumwabudu Bwana tukamsifie
Tukamtukuze neno, tukamnyenyekee